Taarifa mpya zinadai kuwa Kim Kardashian na Kanye West wapo kwenye mikakati ya kushiriki kwenye picha za utupu kwa pamoja.
Hii imekuja majuma machache tu baada ya Kim Kardashian kutikisa kwenye 'Paper Magazine' kwa picha za utupu. Rapper Kanye anasema kuwa ameshawishika kwa umbo la mvuto la mke wake nakutaka naye kushiriki akiwa naye kama alivyo sema na US version of OK! Magazine kwamba

There's going to be a big reveal party once it's done!"
0 Response to "Kim Kardashian na Kanye West wapo kwenye mikakati ya kushiriki kwenye picha za utupu "
Post a Comment