Mwanahiphop Mkongwe Busta Rhymes amejeruhiwa vibaya na kuvuja damu katika maeneo ya Kichwani baada ya kuanguka alipokua akiwapa mashabiki wake mikono katika show moja ya mjini New York. Nyota huyo aliewahi kutamba na wibo wa ' I know What You want' akishirikiana na Mariah Carey alihudhuria Show hiyo na akatumbuiza jukwaan ndipo akiw na furaha kueleke a kwa mashabiki wake aliamua kufika ukingoni mwa jukwa hilo na kuamua kushikana mikiono na mashabiki hao kama ishara ya uendo kwao ndipo alipoanguka katika jukwaa hilo refu na kuumia kichwani Wanausalama walifanikiwa kumtoa katika eneo ambalo alianguka na kuonekana akiwa anatokwa na damu nyingi kichwani Hata hivyo muda mfupi baadae Busta aliwatoa wasiwasi mashabiki wake na kuwashukuru kwa upendo wao mkubwa na kukiri kua alikua amepatwa na maumiv katika baadhi ya sehemu za mwili wake kupitia mtandao wa twitter
Busta Rhymes Ajeruhiwa Katika Show

0 Response to "Busta Rhymes Ajeruhiwa Katika Show"
Post a Comment