kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brow
Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.
0 Response to "Nicki Minaj atokea akiwa na kinguo kinachoonyesha maziwa yake, Rihanna akasirishwa na perfomance yake"
Post a Comment