Mwanamuziki Chris Brown leo hii ameachiwa huru baada ya kutumikia siku 108 jela badala ya 131 aliyohukumiwa kwa kosa la kushindwa kutimiza masharti ya kifungo cha nje
Chris mwanzo alihukumiwa kifungo cha siku 365 May 9 baada ya kukubali kushindwa kutimiza masharti ya kingo cha nje kwa kujiingiza katika ugomvi Washington DC mwaka jana, lakini hakimu R. Brandlin alimpunguzia kifungo baada ya kutumikia siku 234 akiwa rehab na jela.
Hakimu pia amemuamuru Chris kuhudhuria therapy sessions mara mbili kwa wiki na kupimwa kipimo cha madawa ya kulevya mara tatu kwa wiki
0 Response to "Chris Brown aachiwa huru baadaya kutumikia siku 108 jela"
Post a Comment