Flicker Images

SHILOLE NA HOFU YA KUULIWA

Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao ya kijamii, alizushiwa kuwa alienda huko akiwa na mwanaume badala ya ukweli kwamba alifuata shoo katika miji tofauti. Yaani watu wana roho mbaya sana, wanatamani nikiwa nimepanda ndege waitungue nife na ndiyo maana wanazusha, namuomba Mungu sana maana maadui wanazidi kila kukicha kisa maendeleo yangu tu,” alisema. Credit GPL

0 Response to "SHILOLE NA HOFU YA KUULIWA"

Post a Comment