Flicker Images

HUYU NDIO HUDDAH: BOSS LADY ANAYEIWAKILISHA KENYA

Binti mwenye makeke mengi sana nchini Kenya Huddah anayetajwa kuwa ndio Boss Lady Wa Kenya kati ya wale ma boss lady wa tatu kutoka Afrika mashariki akiwemo Miss Jack Cliff wa Tanzania na Zari wa Nchini Uganda ambao waliwahi tajwa na mtandao mmoja binafsi kuwa ndio na Boss lady wa ukanda huu… ukiniuliza vigezo vilivyotumika kuwatambua nitakuomba msamaha maana hata mimi sijui ila habari ndio ipo hivo

0 Response to "HUYU NDIO HUDDAH: BOSS LADY ANAYEIWAKILISHA KENYA"

Post a Comment